Eberi akazaliwa wana wawili wa kiume; jina la wa kwanza ni Pelegi maana katika siku zake nchi iligawanyika; na jina la nduguye ni Yoktani.
Yoktani akamzaa Almodadi, na Shelefu, na Hasarmawethi, na Yera,
na Ofiri, na Havila, na Yobabi. Hao wote ndio wana wa Yoktani.
Na Eberi akazaliwa wana wawili wa kiume; jina la wa kwanza aliitwa Pelegi, maana katika siku zake nchi iligawanyika; na jina la nduguye aliitwa Yoktani.
Na Yoktani akamzaa Almodadi, na Shelefu, na Hasarmawethi, na Yera;
na Ofiri, na Havila, na Yobabu. Hao wote ndio wana wa Yoktani.